Zaburi 18:50 Biblia Habari Njema (BHN)

Mungu humjalia mfalme wake ushindi mkubwa;humwonesha fadhili zake huyo mteule wake,naam, humfadhili Daudi na wazawa wake milele.

Zaburi 18

Zaburi 18:47-50