Lakini mimi, kwa wimbo wa shukrani,nitakutolea sadaka,na kutimiza nadhiri zangu.Mwenyezi-Mungu, ndiye aokoaye.”