Yoeli 1:13 Biblia Habari Njema (BHN)

Enyi makuhani, jivikeni magunia kuomboleza,lieni enyi wahudumu wa madhabahu.Ingieni hekaluni mkaomboleze usiku kucha!Sadaka za nafaka na kinywaji zimetoweka nyumbani kwa Mungu.

Yoeli 1

Yoeli 1:5-20