Yoeli 1:12 Biblia Habari Njema (BHN)

Mizabibu imenyauka;mitini imedhoofika;mikomamanga, mitende na mitofaa imekauka,naam miti yote shambani imekauka.Furaha imetoweka miongoni mwa watu.

Yoeli 1

Yoeli 1:5-20