Hupinda maneno yao kama pinde;wameimarika kwa uongo na si kwa haki.Huendelea kutoka uovu hata uovu,wala hawanitambui mimi.Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.