Laiti ningekuwa na mahali pa kukaa jangwani,ambamo ningewaacha watu wangu na kwenda zangu.”Mwenyezi-Mungu asema:“Wote ni watu wazinzi,ni genge la watu wahaini.