Yeremia 6:3 Biblia Habari Njema (BHN)

Watu wataujia kama wachungaji na makundi yao,watapiga hema zao kuuzunguka kila mmoja sehemu yake,wapate kuyaongoza makundi yao.

Yeremia 6

Yeremia 6:1-12