Enyi watu wa Benyamini,ondokeni Yerusalemu mkimbilie usalama!Pigeni tarumbeta mjini Tekoa;onesheni ishara huko Beth-hakeremu,maana maafa na maangamizi makubwayanakuja kutoka upande wa kaskazini.