Manabii wanatabiri mambo ya uongo,makuhani nao hutafuta faida yao wenyewe;na watu wangu wanaona jambo hilo kuwa sawa. Lakini mwisho utakapofika mtafanyaje?”