Yeremia 52:3 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu aliwakasirikia sana watu wa Yerusalemu na Yuda hata akawafukuza mbali naye.Sedekia alimwasi mfalme wa Babuloni.

Yeremia 52

Yeremia 52:1-7