Yeremia 51:31 Biblia Habari Njema (BHN)

Tarishi baada ya tarishi wanapiga mbio,mjumbe mmoja anamfuata mjumbe mwingine,kumpasha habari mfalme wa Babulonikwamba mji wake umevamiwa kila upande.

Yeremia 51

Yeremia 51:23-32