Yeremia 51:30 Biblia Habari Njema (BHN)

Askari wa Babuloni wameshindwa kupigana,wamebaki katika ngome zao;nguvu zao zimewaishia,wamekuwa kama wanawake.Nyumba za Babuloni zimechomwa moto,malango yake ya chuma yamevunjwa.

Yeremia 51

Yeremia 51:20-39