Yeremia 51:2 Biblia Habari Njema (BHN)

Nitawapeleka wapepetaji Babuloni,nao watampepeta;watamaliza kila kitu katika nchi yakewatakapofika kuishambulia toka kila upandewakati wa maangamizi yake.”

Yeremia 51

Yeremia 51:1-5