Yeremia 49:32 Biblia Habari Njema (BHN)

“Ngamia wao watatekwamifugo yao itachukuliwa mateka.Nitawatawanya kila upande,watu wale wanaonyoa denge.Nitawaletea maafa kutoka kila upande.Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.

Yeremia 49

Yeremia 49:26-38