Enyi wakazi wa Misrijitayarisheni na mizigo kwenda uhamishoni!Maana mji wa Memfisi utaharibiwa kabisa,utakuwa magofu yasiyokaliwa na watu.