Yeremia 46:18 Biblia Habari Njema (BHN)

Mimi naapa kwa uhai wangunasema mimi mfalme niitwaye Mwenyezi-Mungu wa majeshi,kweli adui anakuja kuwashambulieni:Ni hakika kama Tabori ulivyo mlimakama mlima Karmeli uonekanavyo kutoka baharini.

Yeremia 46

Yeremia 46:15-22