Yeremia 30:16 Biblia Habari Njema (BHN)

Lakini wote wanaokuangamiza, wataangamizwa,na maadui zako wote watachukuliwa uhamishoni;wanaokuteka nyara, watatekwa nyara,wanaokuwinda nitawawinda.

Yeremia 30

Yeremia 30:6-17