Mbona unalia juu ya jeraha lako?Maumivu yako hayaponyeki.Nimekutendea hayo yote,kwa sababu kosa lako ni kubwa,dhambi zako ni nyingi mno.