Yeremia 20:9 Biblia Habari Njema (BHN)

Lakini nikisema, “Sitamtaja Mwenyezi-Mungu,wala sitasema tena kwa jina lake,”moyoni mwangu huwa na kitu kama moto uwakao,uliofungiwa ndani ya mifupa yangu.Najaribu sana kuuzuia humo,lakini ninashindwa.

Yeremia 20

Yeremia 20:3-13