Lakini mimi nilikupanda kama mzabibu mteule,mzabibu wenye afya na wa mbegu safi;mbona basi umeharibika,ukageuka kuwa mzabibu mwitu?