Yeremia 2:20 Biblia Habari Njema (BHN)

“Tangu zamani wewe ulivunja nira yako,ukaikatilia mbali minyororo yako,ukasema, ‘Sitakutumikia’.Juu ya kila kilima kirefuna chini ya kila mti wa majani mabichi,uliinamia miungu ya rutuba kama kahaba.

Yeremia 2

Yeremia 2:15-26