Yeremia 2:13 Biblia Habari Njema (BHN)

Maana, watu wangu wametenda maovu mawili;wameniacha mimi niliye chemchemi ya maji ya uhai,wakajichimbia visima vyao wenyewe,visima vyenye nyufa, visivyoweza kuhifadhi maji.

Yeremia 2

Yeremia 2:11-17