Yeremia 15:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Nimewapepeta kwa chombo cha kupuria,katika kila mji nchini;nimewaangamiza watu wangu,kwa kuwaulia mbali watoto wao,lakini hawakuacha njia zao.

Yeremia 15

Yeremia 15:1-12