Yeremia 15:6 Biblia Habari Njema (BHN)

Nyinyi mmenikataa mimi, nasema mimi Mwenyezi-Mungu;nyinyi mmeniacha mkarudi nyuma.Hivyo nimenyosha mkono kuwaangamiza,kwa kuwa nimechoka kuwahurumia.

Yeremia 15

Yeremia 15:1-9