Yeremia 15:20 Biblia Habari Njema (BHN)

Mbele ya watu hawa,nitakufanya ukuta imara wa shaba.Watapigana nawe,lakini hawataweza kukushinda,maana, mimi niko pamoja nawe,kukuokoa na kukukomboa.Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.

Yeremia 15

Yeremia 15:12-21