Yeremia 15:19 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu akajibu:“Kama ukinirudia nitakurudishia hali ya kwanza,nawe utanitumikia tena.Kama ukisema maneno ya maana na sio ya upuuzi,basi utakuwa msemaji wangu.Watu watakuja kujumuika nawe,wala sio wewe utakayekwenda kwao.

Yeremia 15

Yeremia 15:15-20