Yeremia 13:22 Biblia Habari Njema (BHN)

Nawe utajiuliza moyoni mwako,“Kwa nini mambo haya yamenipata?”Sawa! Kama vazi lako limepandishwa juu,nawe ukatendewa kwa ukatili mno,hayo ni matokeo ya makosa yako mengi mno.

Yeremia 13

Yeremia 13:13-27