Utasemaje juu ya wale uliodhani ni rafiki,wale ambao wewe mwenyewe uliwafundisha,watakapokushinda na kukutawala?Je, si utakumbwa na uchungukama wa mama anayejifungua?