Yeremia 11:20 Biblia Habari Njema (BHN)

Lakini, ee Mwenyezi-Mungu wa majeshi,wewe unayehukumu kwa haki,unayepima mioyo na akili za watu,unijalie kuona ukiwalipiza kisasi,maana kwako nimekiweka kisa changu.

Yeremia 11

Yeremia 11:17-23