Wimbo Ulio Bora 8:12 Biblia Habari Njema (BHN)

Shamba langu la mizabibu ni shamba langu mwenyewe,naam, ni shamba langu binafsi!Basi, Solomoni, wewe ukae na elfu zako za fedha,na kila mlinzi wa matunda akae na mia mbili zake.

Wimbo Ulio Bora 8

Wimbo Ulio Bora 8:6-14