Wimbo Ulio Bora 8:11 Biblia Habari Njema (BHN)

Solomoni alikuwa ana shamba la mizabibu,mahali paitwapo Baal-hamoni.Alilikodisha kwa walinzi;kila mmoja wao alilipa vipande elfu vya fedha.

Wimbo Ulio Bora 8

Wimbo Ulio Bora 8:2-12