Wimbo Ulio Bora 6:9 Biblia Habari Njema (BHN)

Hua wangu, mzuri wangu, ni mmoja tu,na ni kipenzi cha mama yake;yeye ni wa pekee kwa mama yake.Wasichana humtazama na kumwita heri,nao malkia na masuria huziimba sifa zake.

Wimbo Ulio Bora 6

Wimbo Ulio Bora 6:5-12