Wimbo Ulio Bora 5:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Walinzi wa mji waliniona,walipokuwa wanazunguka mjini;wakanipiga na kunijeruhi;nao walinzi wa lango wakaninyanganya shela langu.

Wimbo Ulio Bora 5

Wimbo Ulio Bora 5:1-10