Wimbo Ulio Bora 5:6 Biblia Habari Njema (BHN)

Nilimfungulia mlango mpenzi wangu,lakini kumbe, alikuwa amekwisha toweka.Moyo wangu ulifurahi alipokuwa akizungumza!Nilimtafuta, lakini sikumpata;nilimwita, lakini hakuniitikia.

Wimbo Ulio Bora 5

Wimbo Ulio Bora 5:1-16