Wimbo Ulio Bora 3:4 Biblia Habari Njema (BHN)

Mara tu nilipoachana nao,nilimwona mpenzi wangu wa moyo;nikamshika wala sikumwachia aondoke,hadi nilipompeleka nyumbani kwa mama yangu,hadi chumbani kwake yule aliyenizaa.

Wimbo Ulio Bora 3

Wimbo Ulio Bora 3:1-5