Walawi 11:46 Biblia Habari Njema (BHN)

Hiyo basi, ndiyo sheria kuhusu wanyama, ndege na viumbe vyote hai ambavyo huishi majini na nchi kavu,

Walawi 11

Walawi 11:36-47