Agano hili halitakuwa kama lile nililofanya na babu zaosiku nilipowaongoza kwa mkono kutoka Misri.Hawakuwa waaminifu kwa agano langu;na hivyo mimi sikuwajali, asema Bwana.