Waebrania 8:10 Biblia Habari Njema (BHN)

Hili ndilo agano nitakalofanya na watu wa Israeli siku zijazo, asema Bwana:Nitaweka sheria zangu akilini mwao,na kuziandika mioyoni mwao.Mimi nitakuwa Mungu wao,nao watakuwa watu wangu.

Waebrania 8

Waebrania 8:5-11