Nehemia 9:37 Biblia Habari Njema (BHN)

Kwa sababu ya dhambi zetu,utajiri wa nchi hiiunawaendea wafalme uliowaleta kututawala.Wanatutawala wapendavyohata na mifugo yetuwanaitendea wapendavyo,tumo katika dhiki kuu.”

Nehemia 9

Nehemia 9:36-38