Mwangamizi amekuja kukushambulia ee Ninewi.Chunga ngome zako!Weka ulinzi barabarani!Jiweke tayari!Kusanya nguvu zako zote!