Mwanzo 48:20 Biblia Habari Njema (BHN)

Basi, Israeli akawabariki siku hiyo, akisema,“Waisraeli watayatumia majina yenu kubarikia,watasema, ‘Mungu akutendee mema kama Efraimu na Manase!’”Ndivyo Israeli alivyomweka Efraimu mbele ya Manase.

Mwanzo 48

Mwanzo 48:14-22