Kisha Israeli akambariki Yosefu, akisema,“Mungu ambaye babu zanguAbrahamu na Isaka walimtii maishani mwao,Mungu ambaye ameniongoza maishani mwangu hadi leo,