Mwanzo 25:23 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu akamwambia,“Mataifa mawili yamo tumboni mwako;makabila mawili yatakayozaliwa nawe, yatafarakana.Moja litakuwa lenye nguvu kuliko lingine;mkubwa atamtumikia mdogo.”

Mwanzo 25

Mwanzo 25:22-28