Mika 7:20 Biblia Habari Njema (BHN)

Utaonesha uaminifu wako na rehema zakokwa wazawa wa Abrahamu na wa Yakobo,kama ulivyowaahidi wazee wetu tangu zamani.

Mika 7

Mika 7:15-20