Mika 7:19 Biblia Habari Njema (BHN)

Utatuhurumia tena, ee Mwenyezi-Mungu;utafutilia mbali dhambi zetu,utazitupa zote katika vilindi vya bahari.

Mika 7

Mika 7:9-20