Mika 2:13 Biblia Habari Njema (BHN)

Yule atakayetoboa njia atawatangulia,nao watalivunja lango la mji na kutoka nje,watapita na kutoka nje.Mfalme wao atawatangulia;Mwenyezi-Mungu mwenyewe atawatangulia.

Mika 2

Mika 2:6-13