Mika 2:12 Biblia Habari Njema (BHN)

“Lakini kweli nitawakusanya nyote enyi watu wa Yakobo,naam, nitawakusanya enyi Waisraeli mliobaki,niwalete pamoja kama kondoo katika zizi,kama kundi kubwa la kondoo malishoni;nanyi mtakuwa kundi la watu wengi.”

Mika 2

Mika 2:6-13