Mika 1:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Sanamu zake zote zitavunjwavunjwa,kila kilichochumwa kitateketezwa kwa moto.Vinyago vyake vyote nitaviharibu.Vilirundikwa kutokana na ujira wa malaya,navyo vitatumiwa tena kulipia umalaya.”

Mika 1

Mika 1:6-11