Mika 1:6 Biblia Habari Njema (BHN)

Kwa hiyo, Mwenyezi-Mungu asema hivi:“Mji wa Samaria nitaufanya magofu nyikani,shamba ambalo watu watapanda mizabibu.Mawe yaliyoujenga nitayatupa bondeni,na misingi yake nitaichimbuachimbua.

Mika 1

Mika 1:2-11