Mika 1:2 Biblia Habari Njema (BHN)

Sikilizeni enyi watu wote;sikiliza ewe dunia na vyote vilivyomo.Mwenyezi-Mungu anakuja kuwashtaki,Bwana anena kutoka hekalu lake takatifu.

Mika 1

Mika 1:1-3